
kundi linaloongoza kwa wasanii wakali,walioanza kusikika kuanzia wanaanza gemu lao la muziki . baadhi ya wasanii wanao unda kundi hilo ni lil wayne,drake,nicki minaj,tyga,shanel na wengine wengi.. kundi hilo linaongozwa na baadhi ya wasanii ambao wengine pia wako katika kundi hilo ambao ni BIRD MAN,DIRT MONEY.Pia kundi hilo huwashirikisha baadhi ya wasanii katika nyimbo zao wanazoachia baadhi ya wasanii ambao hushirikishwa ni chriss brown ,rick ross.Mwaka 2010 kundi hilo liliungana na kundi jingine pacha linalojulikana kama cash money na kuunda project group inayojulikana kama YMCMB yaani young money cash money bosses.Na hiyo ndio historia fupi ya kundi la YOUNG MONEY
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni