Jumanne, 31 Desemba 2013

Hatima ya jacklen patrick matatani,serikali yahusika yatoa ushirikiano..................

wakati lile sekeseke la mwanamitindo jacklen patrick likiendelea kufanyiwa uchunguzi na serikali ya china kuhusu nani boss wa mzigo huo,kumezuka hofu miongoni mwa watu kuhusu usalama ya msanii huyo .

Hukumu kwa mtu yeyote atakaye shikwa na madawa hayo ni kifo kwa kunyongwa au kupigwa risasi.Mpaka sasa hatima ya msanii huyo haija fahamika lakini kumekuwa na mawasiliano ya chini kwa chini baina ya serikali ya china na tanzania  ili kuruhusu mwanamitindo huyo kurudishwa ili atumikie kifungo cha ndani badala ya kunyongwa  engapo atahukumiwa kwa sheria za china...Mpaka sasa uchunguzi bado unaendelea