Jumanne, 31 Desemba 2013

Hatima ya jacklen patrick matatani,serikali yahusika yatoa ushirikiano..................

wakati lile sekeseke la mwanamitindo jacklen patrick likiendelea kufanyiwa uchunguzi na serikali ya china kuhusu nani boss wa mzigo huo,kumezuka hofu miongoni mwa watu kuhusu usalama ya msanii huyo .

Hukumu kwa mtu yeyote atakaye shikwa na madawa hayo ni kifo kwa kunyongwa au kupigwa risasi.Mpaka sasa hatima ya msanii huyo haija fahamika lakini kumekuwa na mawasiliano ya chini kwa chini baina ya serikali ya china na tanzania  ili kuruhusu mwanamitindo huyo kurudishwa ili atumikie kifungo cha ndani badala ya kunyongwa  engapo atahukumiwa kwa sheria za china...Mpaka sasa uchunguzi bado unaendelea

Jumatano, 16 Oktoba 2013

wanafunzi wa CHUO CHA MIPANGO mwanza walalamikia ratiba chuoni

Wanafunzi katika chuo cha mipango mwanza wanaingia katika wiki ya mitihani katika siku ya jumatatu.              Kukiwa na malalamiko kuhusu muda wa masomo ambao wanafunzi hao  wameutumia hapo chuoni.  Jambo ambalo linapelekea wao kutopata muda wa kutosha kulingana na masomo yao.mengine kati ya mambo ambayo wanafunzi hao wanalalamikia ni mfumo wa usahihishaji wa baahi ya masomo,na pia ukosefu wa wataalam katika baadhi ya masomo. MASOMO yanayo lalamikiwa ni kama...
DEVELOPMENT PLANNING,  DEVELOPMENT STUDIES, na mwalimu wa MATHEMATICS       pia mambo mengine yanyo lalamikiwa ni G.P.A za chuo hicho kuwa juu sana.