Wanafunzi katika chuo cha mipango mwanza wanaingia katika wiki ya mitihani katika siku ya jumatatu. Kukiwa na malalamiko kuhusu muda wa masomo ambao wanafunzi hao wameutumia hapo chuoni. Jambo ambalo linapelekea wao kutopata muda wa kutosha kulingana na masomo yao.mengine kati ya mambo ambayo wanafunzi hao wanalalamikia ni mfumo wa usahihishaji wa baahi ya masomo,na pia ukosefu wa wataalam katika baadhi ya masomo. MASOMO yanayo lalamikiwa ni kama...
DEVELOPMENT PLANNING, DEVELOPMENT STUDIES, na mwalimu wa MATHEMATICS pia mambo mengine yanyo lalamikiwa ni G.P.A za chuo hicho kuwa juu sana.
DEVELOPMENT PLANNING, DEVELOPMENT STUDIES, na mwalimu wa MATHEMATICS pia mambo mengine yanyo lalamikiwa ni G.P.A za chuo hicho kuwa juu sana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni