Veyron buggati limeendelea kushikilia lekodi ya kuwa gari linaloongoza kwa kuuzwa pesa nyingi kuliko yote baada ya magari mengi kupita.Gari hilo ambalo linauzwa kwa mamilioni ya dola za kimarekani liko katika style moja lakini rangi tofauti tofauti.Kama linavyoonekana hapo chini
Gari hilo lina jumla ya siti mbili za kukalia.hii huifanya gari hii kuwa gari ya starehe badala ya kazi au mambo mengine....Jambo jingine linali shangaza kuhusu veyron buggat ni kuwa na spidi hadi ya 1000,./yaani inaanzi 100,200.300...........1000....kama inavyoonekana hapo
pia gari hii imeundwa na injini ya kushangaza sababu ya jinsi ilivyo undwa kama inavyoonekana hapo kwenye picha .Gari hii ina spidi ya ajabu kutokea jambo loililo fanya gari hii ivunje rekodi iliyowekwa na lumbergin mwaka huu mwanzoni....chini ni picha ya veyron buggat katika injini na mitambo ya ndani kwa ujumla..
MORANGE JOHN
Ijumaa, 3 Januari 2014
Jumanne, 31 Desemba 2013
Hatima ya jacklen patrick matatani,serikali yahusika yatoa ushirikiano..................
wakati lile sekeseke la mwanamitindo jacklen patrick likiendelea kufanyiwa uchunguzi na serikali ya china kuhusu nani boss wa mzigo huo,kumezuka hofu miongoni mwa watu kuhusu usalama ya msanii huyo .
Hukumu kwa mtu yeyote atakaye shikwa na madawa hayo ni kifo kwa kunyongwa au kupigwa risasi.Mpaka sasa hatima ya msanii huyo haija fahamika lakini kumekuwa na mawasiliano ya chini kwa chini baina ya serikali ya china na tanzania ili kuruhusu mwanamitindo huyo kurudishwa ili atumikie kifungo cha ndani badala ya kunyongwa engapo atahukumiwa kwa sheria za china...Mpaka sasa uchunguzi bado unaendelea

Jumanne, 10 Desemba 2013
Jumatano, 16 Oktoba 2013
wanafunzi wa CHUO CHA MIPANGO mwanza walalamikia ratiba chuoni
Wanafunzi katika chuo cha mipango mwanza wanaingia katika wiki ya mitihani katika siku ya jumatatu. Kukiwa na malalamiko kuhusu muda wa masomo ambao wanafunzi hao wameutumia hapo chuoni. Jambo ambalo linapelekea wao kutopata muda wa kutosha kulingana na masomo yao.mengine kati ya mambo ambayo wanafunzi hao wanalalamikia ni mfumo wa usahihishaji wa baahi ya masomo,na pia ukosefu wa wataalam katika baadhi ya masomo. MASOMO yanayo lalamikiwa ni kama...
DEVELOPMENT PLANNING, DEVELOPMENT STUDIES, na mwalimu wa MATHEMATICS pia mambo mengine yanyo lalamikiwa ni G.P.A za chuo hicho kuwa juu sana.
DEVELOPMENT PLANNING, DEVELOPMENT STUDIES, na mwalimu wa MATHEMATICS pia mambo mengine yanyo lalamikiwa ni G.P.A za chuo hicho kuwa juu sana.
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)